Magic Builders International

Magic Builders International Wauzaji na wasambazaji:
WHITE SKIM WALL PUTTY
Wasiliana nasi:
0762249696
0679163291
0752169710
magicbuilderstz.com

MAGIC BUILDERS RUKWA, SUMBAWANGALeo ni Hitimisho, usipange kukosaTunakuletea Huduma zetu karibu na Wewe!Sisi Na Mafundi ...
14/10/2026

MAGIC BUILDERS RUKWA, SUMBAWANGA

Leo ni Hitimisho, usipange kukosa

Tunakuletea Huduma zetu karibu na Wewe!

Sisi Na Mafundi Daima

MAGIC BUILDERS RUKWA, SUMBAWANGALeo tumepata nafasi tena ya kutoa elimu kuhusu bidhaa zetu za Magic Builders katika Viaw...
14/10/2026

MAGIC BUILDERS RUKWA, SUMBAWANGA

Leo tumepata nafasi tena ya kutoa elimu kuhusu bidhaa zetu za Magic Builders katika Viawanja vya shule ya msingi NDUWA Sumbawanga!

Kesho Tupo Tena, Usipange kukosa

Tunakuletea Huduma zetu karibu na Wewe!

Sisi Na Mafundi Daima

HAPPY NYERERE DAYHaupo Nasi, Ila Bado Unaishi Mioyoni Mwetu!Tunajivunia Historia Kubwa Uliyoiweka na Heshima Ukiyotuachi...
14/10/2026

HAPPY NYERERE DAY

Haupo Nasi, Ila Bado Unaishi Mioyoni Mwetu!
Tunajivunia Historia Kubwa Uliyoiweka na Heshima Ukiyotuachia Watanzania! Vizazi na Vizazi Vitakuenzi

Happy Nyerere Day

13/10/2026

MAGIC BUILDERS SUMBAWANGA

Hatimae Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Mhe.Nyakia Ally
Chirukile akaweka Baraka Katika Banda Letu.

Kumbuka Hii ni wiki ya Vijana na Pia Ni Katika kuelekea kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa!

Matukio haya yanafanyika katika viwanja hivi hapa sumbawanga

13/10/2026

MAGIC BUILDERS SUMBAWANGA

Hii ndio sababu ya Kwanini utembelee banda Letu la Maonesho hapa Katika Viawanja vya shule ya msingi NDUWA Mjini Sumbawanga

Huyu hapa Meneja Masoko na Mauzo Kanda ya Nyanda Za Juu Kusini Ndugu Tumaini Matutu Sir_ddam_hope Sir_ddam_hope Akifafanua Zaidi

13/10/2026

GARA BIG SITE

Tunaposema Ukubwa, Tunamaanisha Ukubwaa huu wa Magic Builders!
Bidhaa pekee inayoaminika kayika kutekeleza miradi Mikubwa nchini! Hakuna fundi anaeitaka aibu mtaani!

Tuko na Gara B, Gara B ndani ya Gara Big Site…
MAGIC BUILDERS INTERNATIONAL Sisi na Mafundi Daima

MAGIC BUILDERS SUMBAWANGABado tunahamisha Maarifa kwa Wakazi wa RUKWA, Sumbawanga…Sisi Na Mafundi Daima
12/10/2026

MAGIC BUILDERS SUMBAWANGA

Bado tunahamisha Maarifa kwa Wakazi wa RUKWA, Sumbawanga…

Sisi Na Mafundi Daima

MAGIC BUILDERS SUMBAWANGA, RUKWAElimu ni Sehemu ya Msingi wetu katika Kazi! Hatutachoka kutoa Elimu Juu ya Bidhaa zetu.B...
12/10/2026

MAGIC BUILDERS SUMBAWANGA, RUKWA

Elimu ni Sehemu ya Msingi wetu katika Kazi! Hatutachoka kutoa Elimu Juu ya Bidhaa zetu.

Bado tupo katika Viwanja vya shule ya msingi nduwa, Sumbawanga,Rukwa

Sisi na Mafundi Daima

11/10/2026

MAGIC BUILDERS SUMBAWANGA, RUKWA

Leo tena Tupa Viawanja vya shule ya msingi NDUWA, kazi iendelee

Sisi na Mafundi Daima

THIS TIME FOR TANZANIA, THIS TIME FOR AFRICA
11/10/2026

THIS TIME FOR TANZANIA, THIS TIME FOR AFRICA

Address

PSSSF Towers Sam Nujoma
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magic Builders International posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Magic Builders International:

Shortcuts

Share