23/10/2026
MODERN LUXURY FOR YOUR SPACE 🌿
Unataka nyumba au ofisi yako iwe na muonekano wa kisasa na wa kuvutia?
Tunakuletea decorative ceramic flower pots zenye muundo wa kisasa na rangi nyeusi inayopendeza.
✨ Set ya vyungu 2: TSh 160,000
🖤 Kikubwa: TSh 100,000
🌿 Kidogo: TSh 70,000
Vinapendeza kwenye sebule, entrance, chumbani,ofisi na reception.
📩 Tuandikie WhatsApp kuagiza.
🚚 Ulizia huduma ya delivery.
Mirabel Ceramics — Make every corner beautiful. 🌸