Fundi gearbox za automatic

Fundi gearbox za automatic MATATZO YA GEARBOX❌
❌gari hairudi nyuma au aiyend mbele
❌haichenj au haimaliz gia
❌inachelewa kutembea au kurudi nyuma n.k
call:0759910641

25/10/2026

Unapozungumzia CVT ni gearbox korofi sana na bei ghari kuliko gearbox ya AUTOMATIC (AT) ya kawaida.

Faida za kuwa na gearbox ya AT unaweza kuendesha gari bila masharti yoyote pia unaweza kukimbiza gari vile utakavyo na pia haina mambo ya kuchanganya hydraulic k**a ilivo kwenye CVT.

Sisi tunaweza kufanya hivo kuitoa CVT na kukuwekea gearbox ya kawaida AT

Modification hii inaweza kufanyika kwenye gari hizi 👇
RUMION
SIENTA
RACTIS
HARRIER ANACONDA
VANGUARD/RAV4 MISS TANZANIA

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT

0759 910 641

22/10/2026
Utaskia kwani hydraulic OG bei gani.? Unamwambia 200,000/=, anakwambia subiri nakuja, apo anaenda kuleta hydraulic ya el...
08/10/2026

Utaskia kwani hydraulic OG bei gani.? Unamwambia 200,000/=, anakwambia subiri nakuja, apo anaenda kuleta hydraulic ya elf 40 😅😅😅

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT 0759 910 641

Hizi hapa ni dalili za gearbox ya automatic yenye shida1.Kuchelewa kubadili gear2.mlio usio wa kawaida3.Gari kutetemeka ...
29/09/2026

Hizi hapa ni dalili za gearbox ya automatic yenye shida
1.Kuchelewa kubadili gear
2.mlio usio wa kawaida
3.Gari kutetemeka au kugonga gafra
4.kuvuja kwa oil ya gearbox
5.kushindwa kupokea gear kabisa

Ukiona dalili 1/2/3.. au zote kwa pamoja, wasiliana nasi kwa marekebisho/ kupata gearbox / ushauri.

📍 Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT( dar es salaam)
Direction on google maps search AUTOMATIC GEARBOX CLINIC
Check up 35,000/=

Tunafanya HOME SERVICE kwa gharama za mteja (go & return)
Weka booking

(+255) 0759 910 641

22/09/2026

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT 0759 910 641

22/09/2026

Kuvuja au kumwagika kwa mafuta ya gearbox (ATF/CVTF) ukiwa safarini ni janga linaloweza kuua mfumo mzima wa transmission ndani ya dakika chache endapo hautafata hizi hatua 👇
​
Kwanza kuna sababu kuu 4 zinazopelekea tatizo hili:
1:Pipe/Hose za Oil Cooler kupasuka au kulegea
Shinikizo (pressure) likiwa kubwa, pipe zikipasuka au kulegea zinamwaga mafuta kwa kasi sana

2: Drive Shaft Oil Seals kuchoka
Zikikauka au kupasuka, mafuta yanavuja kila gari inapo tembea au ku-park

3: Sump Gasket au Drain Plug kulegea
koki au gasket maker iliyochoka inaruhusu mafuta kutoka chini ya gearbox

4: Presha kubwa ndani ya gearbox
Breather pipe ikiziba, presha inasukuma oil seals na kutoa mafuta nje

Changamoto kubwa inayowakumba watu wengi hawaoni michirizi ila wanastukia tu gari inagoma kutembea ndipo wanapopata taharuki ya kujiuliza shida ni nini,

Ukipata hali k**a iyo unachotakiwa kufanya ni kuzima gari na kuangalia wapi panavuja kisha kudhibiti, usijaribu kalazimisha gari itembee kwani kufanya ivyo kunaweza kusababisha uharibifu mkubwa ndani ya gearbox

Umewahi kukumbana na changamoto hii ukiwa safarini?

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT
0759 910 641

Tatizo kubwa ni pale dereva anapotumia CVT k**a AT(Automatic):Kukanyaga mafuta kwanguvu mara kwa mara(kick down):Muda wo...
18/09/2026

Tatizo kubwa ni pale dereva anapotumia CVT k**a AT(Automatic):

Kukanyaga mafuta kwanguvu mara kwa mara(kick down):
Muda wote unatembeza gari k**a unashindana hapa na hapa umemaliza pedal yote mpaka chini, kitu ambacho sio kizuri kwa gearbox ya CVT kwani kufanya hivo ni kuichosha haraka belt na pulleys zake.

Kutotumia CVT Fluid sahihi. Kupuuza vibration, mlio au warning lights.

Matokeo yake:
Chain/Belt kuharibika.
Pulleys kuchubuka.
Pressure kushuka.
Gearbox kuingia limp mode au kuhitaji overhaul mapema.

CVT ikitumika na kutunzwa vizuri inaweza kudumu miaka mingi bila matatizo makubwa.

CVT si mbovu, tofauti ni kwamba inahitaji matumizi sahihi kulingana na teknolojia yake.

Ndio maana wengi wanalalamika CVT inachelewa kuchanganya Kwasababu hawajui CVT ni nini

Weka experience yako na wewe kwenye comment section

#

02/09/2026

Chuma ime cash out mapema sana

Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT 0759 910 641

01/09/2026

Tunapatikana jet lumo airport 0759 910 641

31/08/2026

Gari ni BMW X5 F15

Gearbox Ilikuwa inachangamoto ya reverse yani ilikuwa haipokei kabisa reverse na iyo ni gearbox used from south Africa, ntawapa story next post 😄

kwenye vdeo ni road test baada ya marekebisho.

Reverse ✅️, gears ✅️
Tunapatikana jet lumo nyuma ya AIRPORT 0759 910 641

Address

Jet Lumo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fundi gearbox za automatic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fundi gearbox za automatic:

Shortcuts

Share

Nearby home improvement businesses