Darwat electrics

Darwat electrics Site visit : Tsh.30,000/=
☎️ 𝟬𝟲𝟱𝟯 𝟱𝟯𝟱 𝟱𝟡𝟱

Karibu Darwat electrics timu ya ufundi na umeme wa majumbani na viwandani:-

βœ…WIRING & LIGHTING DESIGN
βœ…INDUSTRIAL & HOME AUTOMATION
βœ…SECURITY SYSTEMS
βœ…AIR CONDITIONING
βœ…SOLAR SYSTEMS
βœ…SUBMETERS

03/11/2026

Mafundi kazini.
☎️ +255653535595

03/11/2026

Kazi zetu:
☎️ +255653535595
#π”π¦πžπ¦πž

03/11/2026

Wall chasing.
☎️ 0653 535 595
#π™π™’π™šπ™’π™š

Zanzibar : MAUNGANI☎️ 0653 535 595
03/11/2026

Zanzibar : MAUNGANI
☎️ 0653 535 595

03/11/2026

MODERN KITCHEN - ELECTRICAL DESIGN

Mwisho mzuri huandaliwa na mwanzo mzuri. Hapa tukiwa tumeanza kujengea boxes kwa ajili ya points za vyombo mbalimbali vya jikoni kwa kuzingatia mahitaji ya mteja wetu na maelekezo ya mafundi wengine k**a wa Plumbing na Furnitures . Hapa tumeandaa points Kwa ajili ya:-
πŸ“ŒWater heater
πŸ“Œ Electric cooker
πŸ“ŒWashing machine
πŸ“ŒDishwasher
πŸ“ŒRO machine
πŸ“ŒMicrowave & oven
πŸ“ŒKitchen hood
πŸ“ŒSocket outlets Kwa ajili ya blenders, toasters, rice cooker, kettles n.k

Kwa huduma ya ushauri na ufundi tupigie:-

☎️ 0653 535 595

Huwa unakumbuka kujengea waterproof box Kwa ajili ya matoleo ya mifumo ya nje?Kwa huduma ya ufundi na ushauri tupigie:-☎...
03/11/2026

Huwa unakumbuka kujengea waterproof box Kwa ajili ya matoleo ya mifumo ya nje?

Kwa huduma ya ufundi na ushauri tupigie:-
☎️ 0653 535 595 .

Miingoni mwa vitu MUHIMU kuwa navyo kwenye fence yako ni pamoja na :-πŸ“ŒTaa za urembo ukutaniπŸ“ŒPoints za CCTV cameraπŸ“ŒOutlet...
03/11/2026

Miingoni mwa vitu MUHIMU kuwa navyo kwenye fence yako ni pamoja na :-

πŸ“ŒTaa za urembo ukutani
πŸ“ŒPoints za CCTV camera
πŸ“ŒOutlet ya electric fence
πŸ“ŒPoint ya video door bell
πŸ“ŒOutlet ya Gate motor

Maandalizi ya kuhakikisha kuwa mifumo yote inafanya kazi kwa ufanisi na kuepuka gharama zialsizo za lazima huanzia Phase I yaani kabla ya plaster.

Kwa huduma ya ushauri na ufundi tupigie:-

☎️ 0653 535 595

BADO MNASHEA UMEME?Uhuru utapatikana endapo Kila mmoja atafungiwa submeter yake ya kujitegemea.πŸ“ŒInasoma matumizi halisi ...
03/11/2026

BADO MNASHEA UMEME?

Uhuru utapatikana endapo Kila mmoja atafungiwa submeter yake ya kujitegemea.
πŸ“ŒInasoma matumizi halisi ya mpangaji.
πŸ“ŒInakata umeme Kwa yule aliyeishiwa units tu.
πŸ“ŒUnaweza kujinunulia umeme muda wote.

Tupigie:
☎️ 0653 535 595
#π™π™’π™šπ™’π™š

02/11/2026

Hongereni mafundi wa TZ kwa kunyoosha kazi.
Tunaona sasa KENYA wanaiga kila ubunifu wetu halafu wanajivika taji πŸ˜†.

02/11/2026

Fuatilia zaidi kazi zetu Darwat electrics na Rashid Saleh - Darwat .

Tupigie: ☎️ 0653 535 595

Address

Kijichi
Dar Es Salaam

Telephone

+255653535595

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Darwat electrics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Darwat electrics:

Shortcuts

Share

Nearby home improvement businesses