FixChap

FixChap A marketplace for Home services; from Home Appliances (ECOFILTER) to home improvement services.

Ecofilter inakuhakikishia maji safi na salama yenye virutubisho vyote muhimu; karibu ufahamu zaidi namna inavyofanya kaz...
30/07/2026

Ecofilter inakuhakikishia maji safi na salama yenye virutubisho vyote muhimu; karibu ufahamu zaidi namna inavyofanya kazi, vipimo vya TBS na aina zilizopo.

Oda yako sasa kwa kupiga simu/WhatsApp namba #0712770011

Hii ni moja ya Faida ambazo Familia zinazotumia Ecofilter zinapata-Maji Safi na Salama ya kunywa bila usumbufu wa kuchem...
28/07/2026

Hii ni moja ya Faida ambazo Familia zinazotumia Ecofilter zinapata-Maji Safi na Salama ya kunywa bila usumbufu wa kuchemsha!

Agiza Ecofilter yako leo kwa Tsh 280,000 tu kupitia #0712770011 (Call/WhatsApp)

Ecofilter inakuhakikishia upatatikanaji wa maji safi na salama nyumbani.Tupigie 0712-770011 uagize ako sasa!____________...
17/07/2026

Ecofilter inakuhakikishia upatatikanaji wa maji safi na salama nyumbani.

Tupigie 0712-770011 uagize ako sasa!

_____________________

Ecofilter ensures availability of clean and safe drinking water in your home.

Call us through 0712-770011 to order yours!

06/07/2026

💧Maji safi na salama ni msingi wa afya njema!
Je unajua ubora wa maji unayotumia kila siku una athari kubwa kwa afya yako na familia yako?

Katika video hii tunazungumzia umuhimu wa kutumia maji yaliyo salama kwa kunywa na jinsi ecofilter inavoweza kukusaidia kupata maji safi bila usumbufu.

✅salama kwa familia nzima✅Rahisi kutumia✅Suluhisho la uhakika kwa maji ya kunywa

📍Tutembelee au wasiliana nasi leo ili ujifunze zaidi kuhusu ecofilter.

📩Tuambie kwenye maoni: Unatumia njia gani kuhakikisha maji yako ni safi na salama?

Asante kwa kutuchagua na kwa kuwa sehemu ya safari yetu ya kuwapatia watanzania maji safi na salama.🙏🏾💧.Wewe unatupa ala...
03/07/2026

Asante kwa kutuchagua na kwa kuwa sehemu ya safari yetu ya kuwapatia watanzania maji safi na salama.🙏🏾💧.

Wewe unatupa alama ngapi kati ya 10? Tuandikie hapa chini!

02/07/2026

Karibu ujipatie ecofilter yako leo ufurahie maji safi na salama wewe pamoja na familia yako.

29/06/2026

Bado unateseka kuchemsha maji na kununua maji ya kunywa hadi leo?

Karibu ujipatie ecofilter yako leo ili uweze kupata maji safi na salama kujikinga na magonjwa yasababishwayo na maji yasiyosalama k**a typhoid na kadhalika.

Tunapatikana mikocheni karibu na hospitali ya kairuki pia unaweza kutupigia kwa namba 0712770011 kwa ajili ya maelezo zaidi.

24/06/2026

Karibu ujipatie ecofilter yako leo.

Tunapatikana mikocheni karibu na hospitali ya kairuki.

Unaweza kutupigia simu au kuchati nasi whatsapp kwa namba 0712770011.

AC yako imekuwa ikisumbua mara kwa mara?Tupigie simu leo upate huduma ya uhakika!
06/06/2026

AC yako imekuwa ikisumbua mara kwa mara?

Tupigie simu leo upate huduma ya uhakika!

04/06/2026

Fahamu magonjwa yasababishwayo na matumizi ya maji ambayo sio safi na salama.

Address

Regent Street, Mikocheni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FixChap posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share