Tegeta Paving

Tegeta Paving Wauzaji wa Paving blocks & Slabs imara na zakisasa Tanzania. Tupigie / Whatsapp #0748134747

Kulianza jambo lolote ni hatua muhimu ya maisha, lakini kulikamilisha jambo hilo uliloanza ni Hatua yenye maana zaidi......
02/08/2026

Kulianza jambo lolote ni hatua muhimu ya maisha, lakini kulikamilisha jambo hilo uliloanza ni Hatua yenye maana zaidi... wengi tunasuka mipango ya ujenzi na kuanza kutekekeza mipango hiyo. Mara nyingi tunakumbwa na mipango midogomidogo mipya katikati ya safari hiyo ya ujenzi ikiwemo kubadilisha badilisha au kughairi baadhi ya maeneo katika ujenzi wetu na sababu kubwa ikiwemo Budget, Trending na Ushauri mpya. Je, ni fahari kiasi gani muda huu ukikamilisha mipango iliyopo kwenye design yako kuanzia nyumba mpaka parking na garden yako?
Usipoteze nafasi yako kukamilisha ulichopanga ili kupata mwonekano unaohitaji. CHANGAMKA SASA 0748134747.

26/07/2026

Mniwie Radhi kwa huu uzembe uliotokea, nitakuwa makini.

25/07/2026

Unahisi kuna kitu parking yako inahitaji? Unaridhishwa na mahala unapolaza gari lako au mahala pa kucheza watoto wako wakiwa nje ya jengo lako? Pengine unahitaji zaidi ya hayo na hujui uanzie wapi, 0748134747 piga sasa upate jibu lako.

24/07/2026



24/07/2026

Angalia mpaka mwisho👉🏻👉👉🏿

27/05/2026

Kuna michezo k**a vile;
1. Kula mbakishie baba
2. Tobo bao
3. Heshima ya ndege
4. Kitumbua
Hiyo ni baadhi tu ya michezo ambayo ilizalisha makomandoo wa utotoni...
Ongeza mingine unayoikumbuka

26/05/2026

PENGINE HUJAWAHI KULIJUA HILI...

Moja ya sababu inayokuyumbisha kwenye BAJETI yako ya ujenzi ni pamoja na swala la muda. Muda ukiwa mrefu huwa na tabia ya kukufanyia adjustment ya vigharama vidogo vidogo...mfano kum-hold fundi nk...

UNATAKA KUOKOA MUDA?

Piga sasa namba 0748134747 ulipe na kubeba peva zako zikajengwe site..

26/05/2026
26/05/2026

Pengine hujawahi kulijua hili...Moja ya sababu inayokuyumbisha kwenye BAJETI yako ya ujenzi ni pamoja na swala la muda. Muda ukiwa mrefu huwa na tabia ya kukufanyia adjustment ya vigharama vidogo vidogo...mfano kum-hold fundi nk...

Address

Mtongani, Tegeta
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tegeta Paving posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share